Huawei Fixed Wireless Desktop Phone / Simu Ya Mezani Ya SIM Card
1/2
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
2 maoni
Huawei Fixed Wireless Desktop Phone / Simu Ya Mezani Ya SIM Card
+1
Vifaa vya Bidhaa za Mtandao
Aina
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Matumizi ya SIM Card: Inatumia SIM Card ya kawaida (GSM Network), haihitaji waya wa simu ya zamani ya mezani!
Network / Signal Imara: Ina antena ya nje inayosaidia kushika mtandao/signal kwa nguvu na kwa uwazi hata maeneo yenye shida ya mtandao.
Betri ya Akiba (Backup Battery): Ina betri ya ndani inayoweza kukaa na chaji umeme ukikatika, hivyo mawasiliano hayakatiki maofisini au nyumbani.
Kazi Nyingi (FM Radio & SMS): Inasoma na kutuma ujumbe wa maandishi (SMS), ina maonyesho ya kioo (LCD Display), na uwezo wa kusikiliza FM Radio na Hands-free Speakerphone.
Inafaa Maeneo Mbalimbali: Ni bora sana kwa matumizi ya maofisini, madukani, mapokezi (reception), majumbani, au kwa wazee wanaopendelea simu rahisi zenye vitufe vikubwa.