tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya ziada na nyenzo za elektroniki
  4. Vibadilishi
  5. Cable Vifaa vya ziada na nyenzo za elektroniki
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
7 maoni

HDMI to VGA Cable / Adapter (HDTV to VGA)

Vifaa vya Vichapishi na Vichanganuzi
Aina
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Kazi Yake Kuu: Inasaidia kuunganisha kifaa chenye port ya HDMI (kama Laptop, Desktop, TV Box, au PlayStation) kwenda kwenye Monitor, Projector, au TV yenye port ya VGA. ​Picha Safi na Halisi (Clear Display): Inasafirisha picha kwa ubora wa hali ya juu (HDTV/1080p) bila kukatakatika au kupoteza muonekano. ​Rahisi Kutumia (Plug & Play): Hainaji installation ya driver wala programu yoyote; unaingiza tu na inaanza kufanya kazi mara moja. ​Urefu na Uimara: Kebo yenye urefu mzuri na nyenzo imara inayohimili kupindwa bila kukatika ndani. ​Inafaa Sana Kwa: ​Maonyesho ya slide au video ofisini/shuleni kupitia Projector. ​Kuongeza screen ya pili (Second Monitor) kwenye laptop au PC yako.
TSh 20,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif