Eneo Sqmita 2000 La Kibiashara Linauzwa Ml 145 Kibaha/Matias
1/17
+ 12
picha
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, Ilala Ward / Ilala, masaa 9 yaliyopita
5 maoni
Eneo Sqmita 2000 La Kibiashara Linauzwa Ml 145 Kibaha/Matias
+1
Ardhi ya Biashara
Aina
2000sqm
Mita za mraba
Kibiashara
Matumizi ya Sifa
Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Gesi, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Eneo la kibiashara sqmita 2000 linauzwa ml 145 lipo Pwani Kibaha kwa Matiasi, lipo karibu na Barbara kuu ya lami iendayo Morogoro, eneo hili limepimwa na Lina hati miliki, linafaa Kwa uwekezaji wa aina mbalimbali./ Kibaha kwa Matiasi.