Je, huwa unatamani kufanya biashara ama kuongeza biashara nyingine lakini unashindwa ufanye biashara ya aina gani? Je mtaji wa kufungua biashara Bado ni Tatizo kwako?.Ikiwa jibu Lako ni ndiyo bila shaka kitabu hiki kimeandaliwa Kwa ajili Yako Ili kukusaidia zaidi biashara 20 unazoweza kuzifanya mwaka huu na ukatoka kimaisha.Zingine zikiwa unaweza kuanza ukiwa na mtaji wa kuanzia 5,000/=, 10,000/=, 50,000/=, 100,000/=, 500,000/=, 1,000,000/=, 10,000,000, 20,000,000/= nk