Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Gesi, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Kiwanja kizuri sana kinauzwa milioni 6 njia ya goba mtaa wa muhimbili
kipo sehemu nzuri sana na iliyojengeka
huduma zote za kijamii zinapatikana
kina mita 20 kwa 18
panafaa kwa makazi ama kuweka nyumba za kupangisha,
kinauzwa milioni 6 tu,
kiwahi hakikai hiki ndugu mteja078XXXXXXX