Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Kiwanja kipo tambarare na ni mita 300 kutoka barabara ya lami ya goba kama mwendo wa dakika 5 kwa mguu... usiogope bei mazungumzo yapo atakama umepungukiwa unaweza kulipa kidogokidogo karibu sana