Dar es Salaam, Kinondoni, Goba, masaa 11 yaliyopita
8 maoni
4bdrm House in Dalalipapaatzseven, Goba for sale
+1
Nyumba
4 vyumba vya kulala
bafu 2
Nafasi ya Maegesho
Nyumba
Aina ya mali
Kutengwa
Aina ndogo
GHOROFA LENYE VYUMBA VINNE LINAUZWA LIPO GOBA
Anwani ya Mali
Dalalipapaatzseven
Jina la Mtaa
1017sqm
Ukubwa wa sifa
4
Vyumba vya kulala
Imejengwa Mpya
Hali
Bila samani
Samani
2
Vyoo
2
Bafu
Ndio
Huru ya Kujitegemea
Yes
Nafasi ya Maegesho
10
Idadi ya magari
50000
Ada ya Agenti
Nyumba ya gorofa moja mnzuli sana inauzwa milioni 370 maongezi yapo kidogo malipo anapokea hata kwa awamu 2
nyumba ina vyumba vinne siting room dining jiko vyumba vvote ni master na public toilet
nyumba ina hati miliki ya wizarq ya ardhi title ded uwanja wake sqmt 1017 full A/C full cctv camera gardeni ya kutosha parking gali5 location dar es salaam goba umbali wake ni mita Mia 700 kutoka lami