#nyumba_ya_pekee_yake
inapangishwa
iko-dar-es-salaam tz
mahali-goba center
________
kodi tshs mil 1,500,000/= kwa mwezi
_______
malipo ya miezi 6
_______
nzuri ya kisasa#
ya kifamilia,
_________
yenye:-
vyumba vitatu vya kulala #masta #sebule #dinning jiko zuri lenye makabati , choo/bafu vya ndani public, maji yapo ya bomba 24hrs
cars parking space ipo
nje pavingblocks garden
fencedhouse