Kutayarisha vyakula vya haraka chini ya usimamizi wa Head Chef, Kufuata kikamilifu taratibu za matumizi ya mali na vipimo vya jikoni , Kufanya kazi kwa ushirikiano na timu ya jikoni na wahasibu ili kuhakikisha oda zinatoka kwa haraka na kwa usahihi , usafi eneo la kazi .
Ujuzi Unaohitajika
Nidhamu ya juu, uaminifu, na uwajibikaji ,Utayari wa kujifunza na kufuata maelekezo,Usafi binafsi mzuri na utunzaji wa muda, Uzoefu wa kazi za jikoni ni mzuri, lakini tabia njema na nia ya dhati ya kufanya kazi ndiyo kipaumbele chetu kikubwa.
Mahitaji ya chini ya Kufuzu
Uwezo mzuri wa kuongeleana na kuelewa maelekezo kwa Kiswahili.
Uzoefu wa chini
chini ya mwaka moja
Ofisi yetu 6G Lounge iliopo Dodoma ilazo martin luther road ,inatafuta Mpishi mwenye nishati, nidhamu ya hali ya juu, na uaminifu kujiunga na timu yetu.