tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ajira
  3. Kazi za mikono
  4. Online Ajira
Dodoma, Dodoma Vijijini, 28/10
111 maoni

Online Agent

Aina ya kazi
Muda
Tarehe ya mwisho ya Maombi
Endless
Majukumu
Kuleta wateja wapwa wa KUSAJILI LAINI za kawaida na lipa namba pamoja na LAINI za uwakala, elimu ya kuuzia vifaaa vya bando yaani louter na pocket wifi
Ujuzi Unaohitajika
Kuzungumza vizuri na watu,ushawishi wa wateja na kutmia smartphone , heshima Kwa watu wote wakati wa kazi
Mahitaji ya chini ya Kufuzu
UWEZO WA kuwasiliana na kushawishi wateja
Uzoefu wa chini
chini ya mwaka moja
Juhudi ndio ukubwa wa kamisheni
Online AgentOnline Agent
TSh 200,000 - 300,000
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe ada ya kutuma maombi ya kazi/kufanyiwa mahojiano
  • Epuka kwenda kwa mahojiano katika anwani isiyo rasmi ya ofisi
  • Fanya utafiti wako wa kina na uangalie habari kuhusu kampuni
  • Usiwahi kufichua maelezo ya kibinafsi kabla ya kupata ofa ya kazi
frame_left.gif