tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ajira
  3. Kazi za watoto wa watoto na utunzaji
Dodoma, Dodoma Vijijini, 10/07
16 maoni

Nahitaji Mdada Wa Kazi

+1
Aina ya kazi
Wakati wote
Majukumu
Kufanyakazi za ndani na malezi ya mtoto, kupika, kufua,kufanya usafi,kuosha vyombo pia na majukumu mengine ambayo yatajitokeza kwenye familia madogo madogo
Ujuzi Unaohitajika
Kujua kupika, kufua, malezi ya mtoto na namna bora ya kuishi na mtoto wakati wote atakapo kuwa nae pamoja
Mahitaji ya chini ya Kufuzu
Elimu yoyote ila akipatikana form four itapendeza zaidi
Uzoefu wa chini
Mwaka moja
Nahitaji mtu ambae atakuja kufanya kazi kwenye familia yangu, ambapo nayeye atakuwa mmoja wa mtu katika familia yangu, sitamchukulia kama mtu baki, atakula, atalala, atatibiwa kama ikitokea tatizo la kiafya pia nitampenda kama mwanangu. Mahali (Dodoma mjini-Makulu)
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe ada ya kutuma maombi ya kazi/kufanyiwa mahojiano
  • Epuka kwenda kwa mahojiano katika anwani isiyo rasmi ya ofisi
  • Fanya utafiti wako wa kina na uangalie habari kuhusu kampuni
  • Usiwahi kufichua maelezo ya kibinafsi kabla ya kupata ofa ya kazi
frame_left.gif