Nyumba inauzwa mbagala chamazi Islamic wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Nyumba ina vyumba vi tatu, sitting room, dining room, store, jiko na flame mbili.Pia uwani kuna chumba sebule choo.
Nyumba ipo kwenye mtaa mkubwa,
Bei yake shilingi milioni 160
Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu