Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Kiwanja cha pili kutoka Barabara ya lami kinapatikana mwanza Busweru Nyamadoke, n kikubwa Sana urefu hatua 50 na upana hatua 40,unaweza jenga nyumba ya kuishi, apartment, nyumba za kupangisha, hotel, nk kinauzwa