Dar es Salaam, Kinondoni, Bunju, masaa 2 yaliyopita
1 maoni
Kiwanja Kinauzwa Mabwepande
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
3800sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Gesi, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Fully Developed
Hali ya Maendeleo
Paved Road
Barabara ya Ufikiaji
Government Lease
Kichwa
Kiwanja kizuri kinagusa barabara ya mtaa kinauzwa mabwepande mji mpya ukubwa sqmt 3800, huduma zote za kijamii zipo.
Kiwanja tambarare sana
Bei million 33
Kipo karibu sana na hospital ya wilaya ya kinondoni mabwepande