NYUMBA INAUZWA BUHONGWA - MUSABE
-ina vyumba vinne vya kulala ( vitatu ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 34x18= 612 sqm
-kiwanja kimeshapimwa tayari
-nyumba ina umeme na maji tayari
-bei Mil 65 ( maongezi yapo )