Shamba Lenye Ukubwa Wa Heka 1 Na Nusu Linauzwa Lipo Bagamoyo
1/8
+ 3
picha
Pwani, Bagamoyo, 23/03
6 maoni
Shamba Lenye Ukubwa Wa Heka 1 Na Nusu Linauzwa Lipo Bagamoyo
+1
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
6000sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Maegesho ya Gari
Vituo vya
Yes
Chaji ya Huduma
50000
Ada ya Utafiti
50000
Ada ya Maendeleo
50000
Ada ya Kisheria
50000
Ada ya Agenti
Ofa ofa ofa shamba linauzwa lina mabanda ya kuku pia kuna kijumba cha vyumba viwili shamba lipo vikawe njia ya kwenda bagamoyo mkoa wa pwani shamba limepimwa lina SQMT 6000 sawa na heka moja na nusu bei ya kutupwa kabisa linauzwa milioni 120 maongezi yapo
#cal071XXXXXXX