tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Bidhaa za Mitandao
  4. Airtel Bidhaa za Mitandao
Arusha, Arusha, masaa 22 yaliyopita
3 maoni

Zte Mf935 – Mobile Wifi Ya Kasi!

Mifi
Aina
Chapa
MF935
Mfano
2.6 GHz, 2.4 GHz
Masafa Yanayotumika
150 Mbps
Kasi ya juu ya LAN
300MBps
Kasi ya WiFi
4G, 5G
Viwango vya Mtandao wa Simu
Wi-Fi
Maingiliano ya Mifi
9hours
Maisha ya Betri
SIM
Slot ya Kadi ya Simu
Nyingine
DOCSIS Standart
Nyingine
Viwango vya WiFi
Chapa Mpya
Hali
Uwasilishaji
Arusha Region
1 mchana
Bila malipo
ZTE MF935 – MOBILE WiFi YA KASI! Beba internet yako popote unapokwenda! ZTE MF935 ni chaguo zuri kwa mtu anayehitaji WiFi ya portable bila kufungwa sehemu moja. 4G LTE – Pata connection ya internet kupitia mtandao wa 4G. SIM Card Support – Tumia laini ya Tigo, Vodacom, Airtel au Halotel yenye bundle yako. 2000mAh Removable Battery – Battery inaweza kutolewa na kubadilishwa inapohitajika. WiFi Connection – Unganisha simu, laptop, tablet na vifaa vingine bila kutumia mobile data moja kwa moja. Portable Design – Ukubwa wake unarahisisha kubeba kazini, chuoni, nyumbani au safarini. BEI: TSh 150,000/- Arusha – Friend's Corner / ZTE MF935 — Internet yako iwe karibu nawe kila unapokwenda!
Zte Mf935 – Mobile Wifi Ya Kasi!Zte Mf935 – Mobile Wifi Ya Kasi!Zte Mf935 – Mobile Wifi Ya Kasi!Zte Mf935 – Mobile Wifi Ya Kasi!Zte Mf935 – Mobile Wifi Ya Kasi!
TSh 150,000
Inaweza kujadiliwa
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif