Pamba Hotel Yako Kwa Taa Za Solar Za Rangi Muonekano Wa Nyota Tano.
Kampuni
Imefaulu
Arusha, Arusha, masaa 2 yaliyopita
14 maoni
Pamba Hotel Yako Kwa Taa Za Solar Za Rangi Muonekano Wa Nyota Tano.
+1
1
Taa za Nje
Aina
Kubadilisha Rangi, Kidhibiti cha Mbali, Upinzani wa Maji
Vipengele
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Taa hii ya Solar Garden RGB ni ya kisasa yenye rangi 7 zinazobadilika, ikitumia rimoti kudhibiti mwanga, mda wa kuwaka (2h–8h), na aina ya mwanga (nyeupe, ya joto, au ya mchanganyiko). Ina uwezo wa kuangaza hadi masaa 8–10 baada ya kuchaji kwa masaa 6–8 kwa miale ya jua. Inafaa sana kwa fensi, geti, bustani, njia za nyumbani na mapambo ya kando ya nyumba.
Inatumia betri imara ya LiFePO4 3.7V
Imara kwa mvua na jua (IP65 Waterproof)
Imetengenezwa kwa plastiki ngumu (ABS + PC)
Mwanga mkali: 160 lumens kwa watt
Inapendezesha mandhari na kuongeza usalama