Ongeza Thamani Ya Garden Yako Kwa Mwangaza Wa Kifahari Wa Solar Rgb.
+1
Imefaulu
Arusha, Arusha, 41 min ago
4 maoni
Ongeza Thamani Ya Garden Yako Kwa Mwangaza Wa Kifahari Wa Solar Rgb.
Taa za Nje
Aina
Kubadilisha Rangi, Kidhibiti cha Mbali, Udhibiti Mahiri, Upinzani wa Maji
Vipengele
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Taa hii ya Solar Garden RGB ni ya kisasa yenye rangi 7 zinazobadilika, ikitumia rimoti kudhibiti mwanga, mda wa kuwaka (2h–8h), na aina ya mwanga (nyeupe, ya joto, au ya mchanganyiko). Ina uwezo wa kuangaza hadi masaa 8–10 baada ya kuchaji kwa masaa 6–8 kwa miale ya jua. Inafaa sana kwa fensi, geti, bustani, njia za nyumbani na mapambo ya kando ya nyumba.
Inatumia betri imara ya LiFePO4 3.7V
Imara kwa mvua na jua (IP65 Waterproof)
Imetengenezwa kwa plastiki ngumu (ABS + PC)
Mwanga mkali: 160 lumens kwa watt
Inapendezesha mandhari na kuongeza usalama