tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Kutafuta Kazi - CV
  3. CV za madereva
Arusha, Arusha, siku 1 iliyopita
4 maoni

Dereva Wa Kukodi Napatikana Arusha

Uzoefu wa Kazi ya Udereva
zaidi ya miaka tano
Aina ya kazi
Sehemu ya muda
Hali ya Ajira
Wasio na ajira
Jinsia
Wanaume
Hali ya Ndoa
Ndoa
Umri
35

Hisia kuhusu mahali pa awali pa kazi

Arusha Center
Driver
Jan 2018 - Aug 2025
Elimu
Diploma
Bado Anasoma
Hapana
Ujuzi
Driver and technician
Lugha
Swahili and English
Vyeti
Eletronics technician
Uhitimu wa Juu Zaidi
MBBS
James uronu — dereva mahali: arusha, tanzania simu: leseni: a, b, d na e uzoefu: miaka 16 wasifu binafsi mimi ni dereva mwenye uzoefu wa miaka 16, mwenye nidhamu, uaminifu na umakini katika kazi. nina uzoefu wa kufanya safari fupi na ndefu, na ninazingatia usalama barabarani, utunzaji wa gari na kuheshimu muda.l ujuzi na uwezo - safari za ndani na nje ya mji. - kuzingatia sheria na usalama barabarani. - ukaguzi na utunzaji wa msingi wa gari. - uaminifu, nidhamu na uwajibikaji kazini. - uwezo wa kufanya kazi kwa makubaliano na ratiba ya mwajiri. nafasi ya kazi ninayotafuta ninapatikana kwa ajira katika kampuni, taasisi, familia au kwa mtu binafsi. pia ninaweza kukodiwa kwa siku, wiki au mwezi, kwa makubalia. niko tayari kufanya safari fupi na ndefu, ndani na nje ya arusha, kulingana na mahitaji ya mwaji
TSh300,000 - 500,000
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usifichue maelezo yako ya kibinafsi
  • Fanya utafiti wako kabla ya kumwalika mtu yeyote kwa mahojiano
  • Usifungue linki ambayo haijajumuishwa kwenye wasifu wa anayetafuta kazi
  • Fanya mahojiano katika mazingira salama na salama ya ofisi
frame_left.gif