Unatafuta kamera yenye uwezo mzuri wa kupiga picha na kurekodi video.
Canon EOS 550D ni chaguo zuri kwa wanaoanza na wanaotaka kujifunza upigaji picha na utengenezaji wa video.
Nauza kamera yangu ya Canon EOS 550D ambayo nimeitumia binafsi kwa shughuli za upigaji picha na video. Ni kamera iliyotumika (used), na kwa ujumla iko vizuri.
Sifa za kamera:
Ubora wa picha wa megapixel 18.
Inarekodi video za Full HD hadi 1080p.
Inaruhusu kubadilisha lens kulingana na mahitaji yako.
Inafaa kwa photography, kurekodi video, matukio, sherehe na matumizi ya kibiashara.
Chaguo zuri kwa wanaoanza kujifunza photography na video production.
Vifaa vinavyoambatana nayo:
Kamera ya Canon EOS 550D.
Lens ya Sigma 300mm.
Hali ya lens: Lens ya Sigma 300mm inahitaji kusafishwa ili kuondoa ukungu. Hata hivyo, kwa ujumla kamera iko vizuri.