tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Biashara na Viwanda
  3. Biashara Zinazouzwa na Uwekezaji
  4. Biashara Inayoendelea Kuuzwa
Arusha, Arusha, masaa 7 yaliyopita
2 maoni

Afya Na Pesa Asili

+1
Running Business for Sale
Aina
Rejareja
Aina ya Biashara
AFYA NA PESA
Jina la Biashara
Miaka nane
Miaka ya Uendeshaji
Cooperative
Hali ya Kisheria
Uwasilishaji
Nchini kote
1-2 mchana
Bila malipo
> Ndugu zangu! > > Mimi sipo hapa kuuza bidhaa. Nipo hapa kuwaamsha! > > Angalieni, hospitali zimejaa. Vijana wa miaka 25 wanalia na UTI, presha, vidonda vya tumbo. Wazee wa miaka 40 wamechoka. > > Kwa nini? Tunakula sumu kila siku na tunaita chakula. Tunakunywa soda na tunaita starehe. > > AFYA NDIO UTAJIRI WA KWANZA. Ukipoteza afya, hata milioni 10 haina maana. > > Mimi nimeamua. Sitaki kuwa mtu wa kulalamika. Nataka kuwa mtu wa kutafuta suluhisho. Suluhisho la asili, lisilo na kemikali. > > Na kwa wale mnaolalamika pesa hakuna, sikilizeni: Pesa haipo ofisini, pesa ipo kwenye tatizo la watu. Tatua tatizo la afya la mtu mmoja, kampuni inakulipa. Huo ndio mtaji wa kisasa. > > Amkeni! Muda wa kulala umeisha!
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Epuka kutuma malipo yoyote ya awali
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kile utakachonunua ili kuhakikisha ndicho unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif