Tunauza simu kwa cash na mkopo kwa gharama nafuu ambapo mteja atachagua kwa mkopo alipe ndani ya miez 3,miez 6 mpaka mwaka mmoja iwapo atapendezwa pia tunatoa huduma nyingne nyingi kama ufundi simu aina zote ,stickers,kubandika screen protecta aina zote na huduma nyingnez pia kuna free wifi mteja atapo kuwa dukan kwetu anahudumiwa nyote mnakaribish