Stainless steel tank 304 material, food grade tank... Hazishiki kutu, ukungu, JOTO, wala bacteria...
Ni tenki imara Sana na zinazo dumu muda mrefu bila kuharibika...
Zinafaa kuhifadhia vimiminika vya aina zote
Tunatengeneza ujazo, na miundo tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya mteja