kiwanja kipo jirani na kwa mkuu wa mkoa, umeme upo, jirani, maji yapo jirani, barabara inafikika, kilometre 2 kutoka barabara kuu ya kwenda Mwanza, network ipo kwa mawasiliano na kuna watu wamejenga na wanaishi tayari, pia kiwanja kimepimwa na hati miliki zipo na muuzaji ndiye mmiliki halali. karibuni sana
Square meters: 800