Hot 9 play ndio simu yenye battery kubwa kuliko... 6000mah hii ni kama power bank.
Camera ni nzuri, screen size iko poa na ni simu bomba sana kwa matumizi.
Free cover, free screen protector
free delivery
Condition: Brand New,
Screen Size: 6.1 > inches,
RAM: 2 GB