A very good hotel for sale in Nungwi zanzibar.
the hotel has 60bedrooms and it faces direct the beach
offer price is $13, 000, 000mil Negotiation is there
Viwanja vyenye hati miliki vinauzwa kwa bei ya tsh 4mil kwa kila kimoja .
viwanja vinapatikana katika wilaya ya ilala eneo la mbondole.
viwanja vina ukubwa wa futi 40 kwa 50.
kwenye viwanja huduma zote za kijamii zinapatikana kama vile maji na umeme