tre.gif
Sell faster
Buy smarter

J-HOME MAC-LEANER

New on Jiji
Last seen 18 hours ago
J-HOME MAC-LEANER ni kampuni ya usafi iliyopo Dar es Salaam. Tunatoa huduma za usafi wa nyumba, ofisi, masofa, makabati jikoni, bafu na choo, na kuosha magari nyumbani. Tunafanya kazi masaa 24, siku 7 kwa wiki. Tunakuja popote Dar - Kinondoni, Ilala, Temeke, Ubungo. Bei nafuu kuanzia 50,000. Huduma bora na uaminifu ni kipaumbele chetu. Karibu sana!
frame_left.gif