tre.gif
Sell faster
Buy smarter

Rubo Motors Tanzania

5+ years on Jiji
Last seen 12 hours ago
About seller
Upo maeneo ya Mwanza, Shinyanga, Sengerema, Geita, una gari unauza onana nasi tutakusaidia kuliuza gari lako kwa haraka. NB. Gari iwe yakwako nikimaanisha jina la kadi ya gari lifanane na jina lililo kwenye kitambulisho chako cha NIDA au Leseni ya udereva yako Vile vile kama unahitaji kununua gari/Lori/Bus lililotumika hapa nchini tuone sisi. Kama unabitaji kuagiza gari kutoka Japan tuone sisi tutakuagizia gari nzuri na kwa bei nafuu kabisa huku tukikuhakikishia usalama wa pesa yako Tunapatikana Buhongwa Barabara ya Shinyanga karibu na gereji ya mascania Piga/Whatsup Karibuni.
8ads •
All categories
4ads
Construction & Heavy Machinery
4ads
Trucks & Trailers
All Categories
8ads
Construction & Heavy Machinery
4ads
Trucks & Trailers
4ads
Sort by:
Sort
frame_left.gif