Habari karibu kwa mahitaji ya printing,printing accessories,pamoja na machine za printing .
tunauza na kufanya orders vinyls cutting plotter machine ofcn kwetu kwa bei nafuu sana
.
Tunapatikana Dar na mwz-Tz
call074*********
Karibu katika platform yetu ya printing, kuuza na kuagiza printers na vifaa vya printing. tunaagiza large format printing kwa malipo ya awamu yaani awamu mbili (installment) , Awamu ya kwanza unalipia robo tatu ya gharama then robo unamalizia baada ya mzigo kufika. risiti na mkataba wa malipo utaandikishwa.
karibu ofsini, mwanza na Dar kwa maelezo zaid wasiliana nasi kwa namba074*********
1 station screen printing za kisasa (morden) for small scale based. tunafanya printing na kuuza vifaa vya printing,lkn pia machine km hizi tunaziagiza, karibu ofisini kwetu uweke oder tukuagizie. mzgo unafika ndan ya siku 30 toka utakapo lipia. 70% awamu ya kwanza awamu ya pili 30%