tre.gif
Sell faster
Buy smarter

BEAUTY WORLD SALON

1+ month on Jiji
Last seen 21 hours ago
About seller
Beauty World Salon 💄✨ Tupo Mwenge Sokoni, Jengo la Jamirex Hotel (Ghorofa ya Kwanza) Tunajivunia kutoa huduma bora na za kisasa za urembo kwa wanaume na wanawake. Karibu upate mwonekano mpya na ngozi yenye afya kwa huduma zetu za kitaalamu: • Kusuka nywele za kisasa • Facial za kitaalamu • Scrub za ngozi (Skin exfoliation) • Skin Analysis (uchunguzi wa ngozi) • Ushauri wa bidhaa sahihi za ngozi Tunatumia bidhaa original na salama kwa ngozi yako. Uzuri wako ni kipaumbele chetu 💖 📞 Wasiliana nasi
frame_left.gif