Brand: et3 series 8
mawasiliano065*********
bei; 80,000
high quality na mikanda yake ni ngozi kabsa yaani ni pure genuine leather na pure silcon ,
hii saa pia umbo lake ni duala na
inachaji yake fasta chaji na betry yake
ina kaa na chaji sana ina fanya vitu vyote vya smart watch na zaidi maana ina mpaka atendesi ya kukumbusha kufanya baadhi ya matendo kama kunywa maji,kupumzika ,kufanya mazoezi n.k,
ina rangi tatu tu ,na kwenye maji haina shida,
inakuja ikiwa na saa ,mikanda ya kipekee ya ngozi ,fast charge wireless
na sapoti siri na pia ni sapoti intanet na wapenda mazoezi ndio usisema kabisa maana ina tunza kumbukumbu zako
ina sapoti simu zote za smartphone
Condition: Brand New