Gold edition smart watch chinese version
✓inakuja na mikanda miwili (mmoja chuma)
✓unaweka picha kwenye kioo
✓ wireless charge
✓ ni ceramic material
✓ inasupport zaid ya lugha 24
✓ ina full display yaan kioo kinajaa chote juu mpaka chini
✓crown yake inafanya kazi
✓ inaunganisha i phone na android
✓ water proof
✓ material: alloy
✓bluetooth unaweza unganisha na simu.
✓ full touch display
inapiga na kupokea simu
✓ina sensor monitoring inahesabu hatua,umbali, blood pressure, blood oxygen,body temperature na kwa wanamichezo hii inahesabu kiasi cha calories zilizoungua.
*jumla: 45000 tu*
Condition: Brand New