✓ model:*sk15*
✓ rangi: *full black, black green en black orange
ina *menu face saba*
✓ ina *sensor display* yaan ukiiangalia tu bila kuigusa inajiwasha kisha ukiiweka pemban inajizima !! nyieeee
✓ unaweka picha kwenye display
✓ inaunganisha i phone na android
✓ material: alloy
✓ silicon belt
✓ bluetooth unaweza unganisha na simu.
✓ inapiga mziki mneneee
✓ full touch display
✓ inapiga na kupokea simu
✓ina sensor monitoring inahesabu hatua,umbali, blood pressure, blood oxygen,body temperature na kwa wanamichezo hii inahesabu kiasi cha calories zilizoungua.
tunafanya delivery !!
•
Condition: Brand New