@*Wireless EW plus big screen latest series 8*
✓ Wireless charge
✓Ni ceramic material
✓ RANGI: black, blue, gold
✓Ina full display yaan kioo kinajaa chote juu mpaka chini
✓ Ina airpods zake ambazo zinaunganisha direct
✓Crown yake inafanya kazi
✓ Inakuja na mikanda miwili
✓Inaunganisha i phone na android
✓ water proof
✓ Material: Alloy
✓ Bluetooth unaweza unganisha na simu.
✓ FULL touch display
✓ Inapiga na kupokea simu
✓Ina SENSOR MONITORING Inahesabu hatua,umbali, blood pressure, blood oxygen,body temperature na kwa wanamichezo hii inahesabu kiasi cha calories zilizoungua
Condition: Brand New