Nyumba ya Ghorofa inauzwa Mtoni Kijichi.
- Nyumba ina 4 Bedrooms, 2 Bathrooms, Sitting Room, Dinning Room, Kitchen, Public Toilet.
-Ina Outdoor Gym,Choo cha nje, Solar Back Up, Electric Gate, Kisima cha maji ( Sio ya Chumvi) Shaded 3 Cars Parking.
- Plot Size ni 1200 Square Meters
Bedrooms: 4,Bathrooms: 2,Furnishing: Unfurnished,Property size: 1200