House for rent
dalali-haruni-tz
nyumba ya kukodi stand alone
location kigamboni kibada iko-dar-es-salaam country:tanzania
nyumba yenye vyumba viwili vya kulala chumba kimoja self contained sitting room kitchen public toilet uneme lukuyake maji safi nyumba mpya inajitegemea full fence/geti
bei laki mbili na nusu tzs 250,000 tzs kwa mwezi mmoja malipo miezi 6 + malipo ya mwezi kwa dalali-haruni-tz
mawasiliano
whatsapp076*********
whatsapp #
Property size: 500,Furnishing: Unfurnished,Bedrooms: 2,Bathrooms: 1