Nauza nyumba kalli sana ipo mbagala chamanz kwa masiste
ipo jilani kabisa na stend ya dala dala za masiste
nyumba nzuri sana kubwa ina uzwa tsh mil 56 tu
vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na daining room na jiko pamoja na maji na umeme
eneo square meter 400
nyumba ime nyooka sana njoo uone mdau wangu tumalize biashara
Bedrooms: 3,Bathrooms: 2,Furnishing: Unfurnished,Property size: 400