Notifications: mitandao ya kijamii na calls
- haipigi wala kupokea simu, lakini utaona jina/namba ya mtu anayekupigia.
- utaona sms na kuzisoma lakini hautaweza kujibu kwa kutumia saa.
- heart rate blood pressure monitor.
- inahesabu hatua ukikimbia/kutembea, kuruka kamba, sit up.
deliver fee depends with an area. gharama ya kutuma zinategemea eneo
Condition: Brand New