Almonds ni miongoni mwa nuts ambazo zina virutubisho vingi na hivyo kufanya kuwa na faida nyingi kwa mlaji. almonds inasaidia kuregulate cholestrol, kutatua matatizo ya moyo na pressure, matatizo ya kisukari na vilevile hutumiwa na watu wenye allergy na gluten kwani almond unaweza ukatumia kama mbadala wa ngano kwa kutengeneza unga wa almond lakini pia kama mbadala wa maziwa ya ng'ombe kwa kutengeneza almonds milk.
tunauza almonds nuts kwa bei ya jumla na rejareja.
pia tunatengeneza unga wa lishe kwa kuchanganya mahindi dona na almonds.
karibuni sana
tunapima kuanzia robo kwa shilingi 9000 na kilo moja kwa shilingi 36,000.
lakini tunauza pia kwa bei ya jumla ya shilingi 30,000 kwa kilo kwa anaechukua kuanzia kilo 5 na kuendelea.
karibuni sana kwa jumla na rejareja.
tunapatikana sinza kivulini pamoja na posta mtaa wa shaban robert