Apartment_zakisasa_mpya
inapangishwa
iko-dar-es-salaam tz
mahali-salasala,iptl yatatu,kutokarami
usafi #free ulinzi #free
taka #taka #free,maji #dawasco free
gharana zime jumlishwa kwenyekodi
malipo ya miezi 6
_____________
kubwa ya kifamilia
_______
yenye:-
vyumba viwili, vikubwa vya kulala #masta #sebule kubwa #dinning #jiko zuri lenye #makabati #choo/#bafu vya ndani public
#gypsum #tiles #aluminium #windows
#umeme upo wa #luku yake
#maji yapo ya #bomba #24hrs
cars #parking space ipo kubwa
nje #pavingblocks #garden
#fencedhouse
____________
Property size: 1300,Furnishing: Unfurnished,Bedrooms: 2,Bathrooms: 1