Tangazo vyumba hihapa inauzwa ipo dar es salaam wilaya ya ilala jimbo la ukonga mahari ilipo nyumba ni chanika magengeni ina vyumba vitatu vya kulala ina master ina sittingi room ina dainngi room ina jiko ina store ina eneo kubwa kwajiri ya pakingi kuna flemu tano kwa jiri ya maduka
Bedrooms: 8,Bathrooms: 2,Furnishing: Semi-Furnished,Property size: 1100