Free classifieds in Tanzania, classified ads in Tanzania (For Sale in Tanzania, Vehicles in Tanzania, Real Estate in Tanzania, Community in Tanzania,...)
My favorites Sign in Registration
Post Ad
1

Viwanja Dodoma

TSh 3,000,000
mashamba kuanzia hekari moja mpaka 10 yanapatikana,,,dodoma karibu na chuo kikuu cha udom. kijiji cha ndwene mpakani mwa kijiji cha ng'ong'ona . karibu na hospital ya Benjamin mkapa
Square meters: 4900
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Kiwanja Cha Makazi UDOM

TSh 1,400,000
njoo ujipatie kiwanja cha makazi ng'ong'onha (karibu na hospital ya Benjamin Mkapa ) pembeni na shule ya msingi ng'ong'onha ( Udom). ukubwa wa kiwanja ni miguu 16*16 bei poa sana
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots for Rent
1

Viwanja Dodoma (Udom)

TSh 3,000,000
Nauza mashamba mpakani mwa chuo kikuu cha udom na hospital ya benjamin mkapa , kuanzia heka 1 mpaka 5 , heka 1 kwa mill 3 tuu. mashamba yote yamepimwa na yapo karibu na makazi ya watu, huduma za kijamii zinapatkana pia
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots for Rent
1

Kiwanja Dodoma

TSh 7,000,000
Kiwanja kikubwa kinauzwa kipo pembeni na hospital ya benjamin mkapa dodoma udom ndani ya kijiji cha ng'ong'onha, kinakaribia nusu hekari, tayari kimepimwa, pia kimezungukwa na makazi ya watu. wahi ujipatie mape eema
Square meters: 1922
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Shamba Linauzwa Ng'ong'onha Udom

TSh 4,500,000
Karibu ujipatie shamba lenye ukubwa wa hekari moja na nusu kwa bei rahisi sana, shamba lipo karibu na ring road, ni mita 40 kufikia barabara ya ring road. lipo pembeni ya chuo kikuu cha udom ng'ong'onha. karibu sana piga
Square meters: 6550
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Viwanja Vikubwa (UDOM)Dodoma

TSh 7,000,000
Karibu ujipatie viwanja vikubwa dodoma kuanzia sqm 1000 mpaka sqm 2400, karibu na benjamin mkapa hospital,,,pembezoni mwa chuo kikuu cha udom
Square meters: 2400
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Kiwanja Cha Makazi Udom

TSh 5,000,000
Jipatie kiwanja cha makazi pembeni ya chuo kikuu cha dodoma udom pembeni na shule ya msingi ng'ong'onha urefu wa kiwanja ni hatua 35 upana 20,kiwanja kimepimwa kipo karibu na barabara kuu, pia kipo karibu na hospital ya benjamin mkapa dodoma . kimezungukwa na nyumba, huduma zoote za jamii zinapatikana
Square meters: 500
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Nauza Kiwaja Ng'ong'onha Udom

TSh 4,500,000
nauza kiwanja kipo pembeni ya hospital ya Benjamin Mkapa Udom, Kijiji cha ng'ong'onha kipo pembeni ya barabara
Square meters: 1500
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
2

Kiwanja Udom Ng'ong'onha

TSh 2,000,000
kiwanja kwa ajili ya makazi tuu, kipo sehemu ya mwinuko kidogo, karibu na barabara. huduma za kijamii zinapatikana mana kipo karibu na hospitali ya benjamini Mkapa (Udom)
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots for Rent
1

Jipatie Mashamba( Dodoma)

TSh 18,000,000
Heka 6 za mashamba zinauzwa kwa pamoja, tayari zimepimwa, zinapatukana pembeni ya chuo kikuu cha dodoma luiko, kijiji cha ng'ong'onha, kama unataka kuwekeza muda ni huu sasa. cont karibu dodoma. heka moja ni mill 3 tu
Square meters: 4000
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Viwanja Ng'ong'onha ( Udom)

TSh 1,500,000
viwanja vinapatikana mtaa wa ng'ong'ona Dodoma karibu na shule ya msingi ng'ong'ona, pembeni ya barabara kuu (ring road) kuanzia sqm 400 mpaka sqm elf 2, kwa bai ya mill 1.5 mpaka mill 7. jipatie kiwanja kulingana na uwezo wako. Karibu sana udom
Square meters: 400
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Plots For Sale Ng'ong'ona (Udom)

TSh 1,500,000
tayari ramani ya mipango mji imetoka njoo jipatie viwanja vilivyopo katikati ya mji ndani ya ng'ong'ona pembeni ya hospitali ya benjamin mkapa udom. kuanzia sqm 400 nakuendelea kwa bei nafuu sana
Square meters: 400
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Kiwanja Mpakani Na Chuo Kikuu Cha Udom

TSh 5,000,000
karibu ujipatie kiwanja mpakani mwa chuo kikuu cha UDOM upande wa Benjamin hosptipal Dodoma, kimepimwa na kipo ndani ya makazi ya watu. maongezi yapo kidoogo karibu
Square meters: 1600
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Kiwanja Ng'ong'ona Dodoma

TSh 4,500,000
nauza kiwanja kipo ngo'ng'ona karibu na hospital ya Benjamin Mkapa Dodoma, raman ya kiwanja ipo tuwasiliane
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots for Rent
1

Nauza Kiwanja Iyumbu Dodoma

TSh 8,000,000
kiwanja kipo iyumbu mpakani mwa chuo cha UDOM na Benjamin Mkapa hospita, huduma zotee zakijamii zinapatikana,, kiwanja kipo pembeni ya barabara. pia ndani ya kiwanja kuna viwanja 4 vya sq2m 600,, wahi jipatie kiwanja iyumbu
Square meters: 2400
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Kiwanja Cha Makazi Ng'ong'onha

TSh 2,500,000
Jipatie kiwanja kwa bei nafuu sana, kiwanja tayari kimepimwa, documents zote zipo pia kipo karibu na barabara kubwa, wahi ujipatie kwa haraka
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots for Rent
1

Kiwanja Ng'ong'ona (Udom)

TSh 4,000,000
nauza kiwanja miguu 40 kwa 40 kipo karibu na hospital ya Benjamin mkapa, kipo pembeni ya ring road yakwenda mjini (karibu na shule ya msingi ng'ong'ona )
Square meters: 800
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Kiwanja UDOM Ng'ong'onha

TSh 7,000,000
jipatie kiwanja Chenye sqm 2100, kipo ng'ong'ona pembeni ya hospitali ya Benjamin Mkapa, (udom ) kimepimwa kabisa na ramani yake ipo full,
Square meters: 2100
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Kiwanja Nghong'ona Udom

TSh 5,000,000
kiwanja kinapatikana pembeni ya shule ya msingi ng'ong'ona karibu na hospitali ya Benjamin Mkapa udom
Square meters: 1800
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Ofaa Kiwanja Ng'ong'ona

TSh 3,000,000
jipatie viwanja viwili vyenye sqm 400 vipo pamoja kwabei ya ofa, vimepimwa vipo pembeni ya hospitali ya benjami mkapa udom, sehem ni tambalale
Square meters: 800
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
1

Kiwanja Ngo'ng'ona UDOM

TSh 7,000,000
kiwanja kipo karibu na hospitali ya Benjamini Mkapa udom(kinakarbia nusu heka) na tayari kimepimwa, kipo pembezoni mwa barabara kuu yakwenda Dodoma mjini, eneo lipo sehemu ya tambalale
Square meters: 2300
Dodoma Region, Dodoma Rural, APR 12 – Land & Plots For Sale
Other countries
  • Ghana
  • Ethiopia
  • Nigeria
  • Uganda
  • Kenya
Payment method
© 2021 Jiji.co.tz