offer kubwa ya air fyrer
offer hii itahusisha free delivery kwa dar es salaam na 5,000 usafiri kwa mikoani
pia mzigo wa jumla upo
inakaanga vyakula bila mafuta mfano chips, mihogo, nyama, samaki, ndizi, viazi, mboga mboga na vyakula vingine vikaangavyo kama hivo.
unaweza punguza hatari ya magonjwa yatokanayo na mafuta (high cholesterol) kama vile pressure, magonjwa ya moyo na kiharusi ( stroke) kwa kupunguza kiwango cha mafuta mwilini (fatty foods)
inawarranty wa mwaka mmoja, inaujazo wa lita 6 na inapika kwa muda mfupi, ni digital & touch screen.
wahi sasa offer ni ya muda mfupi
Condition: Brand New