Tunauza viazi, tangawizi na mahindi ya ubora wa juu kutoka Mbeya. Bidhaa zinapatikana kwa jumla na rejareja kwa bei shindani. Tunahudumia wateja binafsi, wafanyabiashara, hoteli na taasisi. Usafirishaji unapatikana kulingana na makubaliano. Wasiliana nasi leo kuagiza au kupata maelezo zaidi.