• Eneo LA Ziwani/ Beach Plot Farm
More 7 photos "Eneo LA Ziwani/ Beach Plot Farm"

Eneo LA Ziwani/ Beach Plot Farm

Posted Dec 28
Nyanguge, Magu, Tanzania
175 views
Farmland
Type
10
sqm
Square meters
Mixed
Property Use
Car Parking, Water Supply, Rain Water Drainge
Facilities
Eneo la ziwani/ beach plot farm.
eneo la ziwani linauzwa, lipo nasa ginnery busega simiyu, umbali wa kilometa 95 kutoka mwanza mjini, umbali wa kilometa 2.5 kutoka barabara ya rami ya kwenda musoma, umbali wa kilometa 1 kutoka ofisi za wilaya ya busega.
eneo lina ukubwa wa zaidi ya heka zaidi ya 10, kuna mabwawa ya samaki 6 yenye ukubwa wa 15 meters * 30 meter, lina aridhi nzuri ya kulima mazao yote. kujenga beach au hotel au camp ya watalii.
pia eneo lipo mita 500 kutoka mwalo mkubwa wa boti za uvuvi wilayani busega.
bei ya kuuza ni 15,000,000/= ( milioni 15) au $6250/=
kwa mazungumzo ya bei na kutembelea nyumba wasiliana nami
 • Eneo LA Ziwani/ Beach Plot Farm
 • Eneo LA Ziwani/ Beach Plot Farm
 • Eneo LA Ziwani/ Beach Plot Farm
 • Eneo LA Ziwani/ Beach Plot Farm
 • Eneo LA Ziwani/ Beach Plot Farm
 • Eneo LA Ziwani/ Beach Plot Farm
 • TSh 15,000,000
  Last seen 1 month ago
  0752604160
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts