FOREVER C9 – CLEANj 9 PROGRAM
Unatafuta kuanza safari ya maisha yenye lishe bora na mtindo wa maisha wenye afya?
Forever C9 ni programu ya siku 9 inayochanganya bidhaa za Forever Living na mwongozo wa lishe na mtindo wa maisha.
Programu ya siku 9
Inasaidia kufuatilia malengo yako ya udhibiti wa uzito
Inafaa kwa watu wanaotaka kuboresha mpangilio wa lishe na mazoezi yao
Bidhaa halisi za Forever Living Products
Mahali: Mkolani, Nyamagana, Mwanza
Delivery inapatikana; gharama hulipwa na mteja.
Wasiliana nasi kwa maelezo na oda.
Nunua leo na anza safari yako ya maisha yenye afya!