Inasaidia Afya ya tezi dume. Muhimu katika afya ya ngozi na tishu unganishi.
Inasaidia katika kutengeneza mfumo wa kinga wenye Afya na kupunguza ukubwa na mda wa changamoto za vipindi. Inafanya umetaboli aako ufanye kazi vizuri. Hii huongeza ufyonzwaji na sio kali katika mfumo wake wa umeng'enyaji.
Huongeza nguvu za kiume. Huongeza hamu ya tendo la ndoa. Husaidia katika mmeng'enyo wa chakula. Husaidia kuponesha na kutoa makovu. Inasaidia kutoa sumu mwilini. Inaongeza ute ute kwenye kujamiiana. Inasaidia kuimarisha mji wa mimba. Inasaidia kupevusha mayai. Inakufanya uone vizuri. Inasaidia kuponya vidonda vya ndani na kuvikausha.
#2787-vidonge 100