CW45+J9H, Mwanza, Tanzania, Mwanza, Mwanza Region, Tanzania
Open
• Mon - Sat, 08:00-21:59
Hii bidhaa inasaidia kutunza maji na unyevu unyevu kwenye mmea inasaidia kuongeza mazao mara dufu na kufanya mmea uwe na ukijani mzuri na kukua kiafya inaokoa gharama ya mbolea pamoja na viwatilifu vingine ni nzuri kwa mimea aina zote,mifugo. Kwa mkulima itakusaidia sana kutengeneza kipato kizuri tofauti na awali nitafte nikupe maelezo zaidi