• Website Design

Website Design

Posted Feb 21
Nyamagana, Mwanza Region, Tanzania
51 views
Warriors Technologies Limited
Company Name
Tunatengeza tovuti (website design) za aina zote zenye ubora wa hali ya juu zinazokubalika kimuonekano kwenye kifaa chochote kile (simu, kompyuta, tablet/pad, tv, powerpoint presentation).
tunaaminika katika kutimiza kazi zetu kwa wakati na kufikia malengo ya mteja na uhitaji wake.
mteja anapata fursa/nafasi ya kuweza kuendelea na website yake kwa kupitia mfumo maalumu utakaomuwezesha kufanya updates za taarifa zake kwa urahisi bila ya sisi kuwepo eneo husika au bila ya yeye kulazimika kuwepo ofisini kwake au kutumia mifumo migumu ya utengenezaji.
pia tunafanya website hosting kwa gharama nafuu.
#kaributukuhudumie!
TSh 250,000
Last seen 6 days ago
Mwanza Region, Region Mwanza, Tanzania
0784633602
Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

Similar adverts